Bei za tiles bora Dar es salaam?

Weka picha na bei tasavali hata mimi natafuta ingawa bado sina hela
Lakini je unaweza nipa mzigo nikakulipa nusu nyingine tutakuwa tunamalizana kila nikipata kamshahara kangu?
 
Nenda monalisa pale keko wanauza tiles bei nzuri afu bora size ya 40 kwa 40 ni elfu 17 zisizo teleza afu za kuteleza ni kuanzia 22000 kwa 40 kwa 40 zipo tiles za kila aina
 
Hakuna "tiles bora" zenye bei nafuu.

Ukitaka tiles bora utowe pesa bora. Otherwise kapambane na hayo hayo ma tiles ya kichina, ukiyaweka unakuta rangi moja shades tofauti au vipimo havilingani.

Bongo tunaumizwa sana na hawa TBS, hawatazami kabisa viwango, ma tiles yale reject viwandani ndiyo watu wanakuja kuya dump huku.

Nchi za nje hukuti upuuzi huo au ukinunuwa tiles za ubora wa juu.
 
Wadau tiles bora na bei nafuu zinapatikana wapi Dar?
Mkuu nakushauri nunua za SAJ,made in Kenya ni nzuri na quality making mno,
Kama bado huna Fundi niambie nikupe namba za Fundi wangu wa tiles ambaye anakuwekea sasa na baada ya SAA moja unatumia sehemu yako ukiwa na tiles zake,bei yake ni 4200 kwa kila square meter moja.Uzoefu wake zaidi ya miaka 18.
Kila la heri!
 
Habari kaka, hizi tile za SAJ zinapatikana wapi, je ubora wake unaweza kulingana na za spain
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom