Kabati la dukani la Alluminium linahitajika.

Kabati la dukani la Alluminium linahitajika.

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Kwa yeyote mwenye kabati la Alluminium lenye urefu usiopungua futi 3 nalihitaji kwa matumizi ya duka la vipodozi..

Anayekaa maeneo karibu na Kibaha atapewa kipaumbele ili kuokoa gharama za usafiri.
 
Mimi ninalo niko DSM Mita tatu vioo vya shelf vimevunjika huko kwingine liko powa Niko mbagala bei laki mbili
 
ninalo zuri, naishi Kibaha misugusugu. nicheki kwa 0713-039875. Bei 150,000/-
 
Back
Top Bottom