Kwa wale wenye kupenda kufanya biashara ndogo ndogo nina vyumba vya kupanga vipo sanawari barabarani kabisa na kuna umeme. kodi yake ni shilingi elfu 40 kwa mwezi ukija tutaongea. wahi mapema...
TAASISI YA ARDHI DAR ES SALAAM (INSTITUTE OF LANDS DAR ES SALAAM) INAWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE NA CHA SITA NA UMMA KWA UJUMLA NAFASI ZA MASOMO YA ASTASHAHADA NA...
Naomba kujulishwa kwa Dar naweza kupata wapi hivi vifaa vinavyotumika kwenye restaurants kuhifadhi joto la chakula (food warmers). Nataka inayotumia gas na inayotumia umeme.
LG 49" LED TV Full HD
MODEL
EU Series LH510V
Screen Size 49
VESA
Vesa Size 300x300
DIMENSIONS - WXHXD (MM)
Size W/O Carton, W/O Stand (Including SOUND BAR) 1108*657*81.5
Size W/O Carton, With...
Samsung Galaxy s6 inauzwa bei hiyo hapo juu.
Samsung galaxy s6 imeumbwa kwa body ya glass mbele na nyuma pembeni aluminium, sasa imedondoka na kuvunja kioo cha nyuma, kwa hiyo ninauza ili...
Habari wakuu?. Poleni kwa kuwa off-air kwa hizi wiki 3, kiukweli maisha yalikuwa magum bila JF.
Ok shida yangu ni kuuliza wapi nitapata mashine ya kutotoresha vifaranga yaan 'incubator'. Nahitaji...
Wadau wa JF naombeni mnisaidie nijue bei za Simtank za ujazo wa litre mbali mbali.
Sana sana natamani kujua bei ya Simtank la litre 5000 (elfu 5).
Nitashukuru sana[emoji120]
Habari wapendwa nauza fb page yangu ina watu 21k (zaidi ya watu elfu ishirini na.moja)
Karibuni sana jamani nauzia shida tuu nimepatwa na shida mnoo
Karibuni wapendwa
Ukihitaji njoo pm
Nauza karanga mkoani tunatuma,kwa aliyeko dar mzigo ukifika ndipo atalipia,kwa mikoa mingine tunatuma kwanza hela ndio tunakutumia ,WhatsApp;+255789139153
Tanzania Private Investigation Agency (Now changed to T.P.S.C ) is a licensed firm. We provide adequate investigative services from government case work to private investigations. Our staff have...