NAFASI ZA MASOMO TAASISI YA ARDHI

NAFASI ZA MASOMO TAASISI YA ARDHI

Joined
Jun 10, 2018
Posts
5
Reaction score
3
TAASISI YA ARDHI DAR ES SALAAM (INSTITUTE OF LANDS DAR ES SALAAM) INAWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE NA CHA SITA NA UMMA KWA UJUMLA NAFASI ZA MASOMO YA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2018/19 KATIKA KOZI ZA ARCHITECTURE, GEOMATICS, LAND MANAGEMENT AND VALUATION, QUANTITY SURVEYING NA URBAN AND REGIONAL PLANNING.

MWOMBAJI ANATAKIWA KUWA NA UFAULU WA ALAMA D 4 AU ZAIDI ZISIZOHUSISHA MASOMO YA DINI KWA KIDATO CHA NNE NA PRINCIPAL MOJA NA SUBSIDIARY MOJA KWA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA

MUHULA WA MASOMO UTAANZA TAREHE 15 OKTOBA 2018 NA MWISHO WA MAOMBI NI TAREHE 8 SEPTEMBA 2018.

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 0713 691 776, 0655 692 842, 0623 344 230 AU FIKA MWENYEWE TAASISI YA ARDHI MBEZI BEACH SALASALA AU TEMBELEA TOVUTI YA CHUO www.ild.ac.tz KUPAKUA MAELEZO NA FOMU YA KUJIUNGA. PIA WAWEZA KUWASILIANA NASI KWA BARUA PEPE info@ild.ac.tz, admissions@ild.ac.tz au landsinstitute@gmail.com

WOTE MNAKARIBISHWA.
 
Back
Top Bottom