mabibotech
Member
- Apr 11, 2018
- 78
- 16
Update:
Not working anymore.
Not working anymore.
bandiko lako limedoda mkuu!Good morning!!!
Waswahil banabandiko lako limedoda mkuu!
Bei ya kioo inarange 90,000/= - 120,000/=.Mkuu kubadlsha kioo cha Acer e1 510 itakuw shng ngp?
Asante kwa comment yako, hakika mchango wako ni mkubwa katika uzi huu.bandiko lako limedoda mkuu!
Habari, umejaribu reset factory?Nina Simu Samsung Galaxy Tablet,
Mwanzo ilikua inamaliza kuwaka then baada ya sekunde 5 inazima na kujiwasha tena,
Lakini sasa ikiwaka haimalizi inazima tena, kisha inawaka haimalizi inazima tena,
Inaenda hivyo mwishowe mpaka inaisha chaji na kuzima kabisa.
Nimejaribu Soft Reset ikakataa,Habari, umejaribu reset factory?
Kama bado fuatisha step hizi;
How to Factory Reset Android Phone and Tablet in 2 Ways
Karibu.
Bei ya kioo inarange 90,000/= - 120,000/=.Na kioo cha Sony vaio?? Sh ngapi?
Basi mkuu apo ni firmware/rom mpya tatizo kwisha.Nimejaribu Soft Reset ikakataa,
Nikajaribu Hard Reset napo ikakataa,
Still inafanya the same problem
Unayo wewe hii?Basi mkuu apo ni firmware/rom mpya tatizo kwisha.