Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,660
Habari wakuu?. Poleni kwa kuwa off-air kwa hizi wiki 3, kiukweli maisha yalikuwa magum bila JF.
Ok shida yangu ni kuuliza wapi nitapata mashine ya kutotoresha vifaranga yaan 'incubator'. Nahitaji ya kununua na iwe:
1.ndogo tu ya Mayai kati ya 50 mpaka 100
2. Ya umeme
3. Manual
Pia kama ipo ya sifa tofauti na hizo tunaweza zungumza na ninachojari ni ufanisi tu wa hiyo mashine hata kama ni used or new.
Napatikana Mbeya mjini.