Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta soko la mihogo wakuu,shamba liko mkuranga kimanzichana,heka 11.
1 Reactions
3 Replies
831 Views
Jaman nataka kukata tiket ya ndege nimesikia kuna promotion kutoka aarusha kuja dar Sasa nimetafuta website yao sipati Msaada tafadhal
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Salama wakuu, mwenye kujuwa haya makampuni yanayowatafutua watu Wadada wa kazi za ndani anijuze au anipe contacts zao.Nahitaji dada wa kazi za ndani
1 Reactions
0 Replies
834 Views
Model 2009 Cc 2400 Km 55000 Grande 5 Right hand kwa yeyote aliyekuwa interest tuwasiliane
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wadau Kwa yeyote anayejishugulisha na ununuzi wa hayo mazao ajitokeze tufanye biashara. Vyote vipo Mpwapwa Dodoma. Ahsanteni
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mwenye nayo anipe maelezo na bei yake pia.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Model: 43UJ752V DISPLAY Display Device (OLED / LCD) LCD Screen Size (Inch) 43 Resolution 3840 x 2160 Nano Cell Display Yes IPS Panel (only for LCD series, including IPS 4K and IPS 4K Display)...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mambo vp?? Kama unajihusisha na biashara ya mbao au mkaa, au una mtu anafanya biashara mojawapo au zote nilizozitaja hapo juu tukutane inbox
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Changamoto inayonikabili mimi ni upungufu wa mtaji, na mtaji nilio nao mm ni Eneo zuri maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mtu ambae tutawekeza pamoja, Habari niliyoifikia mm ni ufugaji wa kuku wa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
HAPA NAZUNGUMZIA WALE AMBAO WANAHITAJI HUDUMA KWA AJILI YA BIASHARA ZAO MFANO BLOG,WEBSITE,LOGO NK Graphics & Design Digital Marketing Writing & Translation Video & Animation Music & Audio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa wale wanaohitaji kuandikiwa memorandums za kufungulia kampuni na assitance yoyote kwenye kufungua kampuni,Kutengeneza Companies' Profile, Companies' Objectives n.k kwa gharama nafuu kabisa We...
0 Reactions
1 Replies
590 Views
Ofa ofa Ofa ofa Ofa ofa Ngomemachine wanakuletea toleo jipya la mashine ya kupukuchua mahindi kwa jina inaitwa kungula Inapukuchua mahindi Tani 2.5 ndani ya saa moja. hivyo ukipukuchua kwa masaa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada jinsi ya kupata wanao chapisha vitabu kwa bei ya miatabo kila kitabu
0 Reactions
4 Replies
950 Views
hizi ni tofari nzuri sana,material yake ni cement,mchanga na molamu iliyochenjuliwa,zipo aina 2 za machine za kufyatulia,moja ya umeme na nyingine ya mkono,mwenye kujua bei zake...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nna shida ya kijana wa kike au wa kiume umri kuanzia 18-20 kazi za kufanya ni usafi wa nyumba, kumwagia mauwa,kufua na kupika chakula chake,mshahara wa kuanzia ni 50,000 nipo dar kigamboni.
0 Reactions
9 Replies
918 Views
Habari. Kama Kuna mtu anayo machine ya MAXMALIPO au SELCOM anaiuza basi naomba anicheki kwani Nina uhitaji nayo. Iwe katika hali nzuri kiufundi pia awe tayari kufanya maandisha wakati ananiuzia.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, Natafuta ukumbi/Banda la kukodi kwa lengo la kufanya kituo cha maombi na ushauri,napenda liwe na capacity ya ku hold watu 80 mpaka 100, maeneo ya Yombo, Mbagala, Mtoni...
0 Reactions
3 Replies
676 Views
Wakuu Naomba kujua unga wa tangawizi naweza kuupata mkoa gani na kwa bei gani Ahsante
1 Reactions
2 Replies
2K Views
2006 Toyota IST Chessis Number Engine: 1290cc Sensor door Mileage: 87,000km 12m (Bei ni usajiri & transfer)
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…