Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habarini wana jamvi Karibu ujipatie dagaa kutoka Kigoma kwa gharama ya elfu 16 tu kwa kilo, dagaa wanakuwa wameshapakiwa tayari na ninawauza kwa kilo kilo ni wasafi hawana michanga na kwa wale wa...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Gari ndogo ya kukodi inahitajika kwa matumizi ndani ya Dar es Salaam. kama unayo nitumie message inbox kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Habari wana JF. Jipatie sabuni za Magadi maarufu kama sabuni za Kigoma. Katoni 1 kwa bei ya jumla ni 30,000Tsh inakaa mishe 20. Rejareja tunauza kuanzia miche 5 kwa bei ya 2,000Tsh kwa mche...
1 Reactions
1 Replies
7K Views
Banda jipya linauzwa ukubwa wa futi 5 kwa 4 eneo lilipo kimara mwisho mnarani bei laki 5 maelewano yapo namba ya simu 0686460146
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Kama ni mtengenezaji wa bidhaa za urembo nakukaribisha kununua bidhaa zifuatazo kwa jumla na rejareja Shea butter jumla 60000 kg 1 Black soap kg 1 60000 Coconut oil lita 1 40000 Kwa rejareja...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Used adopter. INPUT: 100-240V OUTPUT: 19V Tsh 30000 bei inashuka kidogo. Nipo tegeta, dar es salaam. Mawasiliano 0719049292
0 Reactions
1 Replies
636 Views
Je unasumbuliwa na mapunye au chunusi za mda mrefu? Basi solution lako ni shaza soap,sabuni kutoka burundi ambazo zimetengenezwa kutoka nchini burundi zenye mchanganyiko wa flavour ya lemon,zenye...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Hizi zinaleta muonekano wa tofaut ukiwa ndani kwako.. Wallpaper roller moja ni tshs 35000 Gundi yake 10000 Ufundi 15000 kwa roller Vipimo:hii ina mita 10 urefu upana cm 50 sasa hapa inategemea...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Nauza kiwanja Mimi sio dalali kiwanja kipo morogoro road CBD area sio makazi ni kwa ajili ya Biashara nk cont 0757240144
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Jameni wandugu naomba kufahamishwa bei ya mafuta ya mawese dumu LA ltr 20 kutoka mkoan mbeya pale sokomotola au mwanjelwa Sido kwa anaye fahamu tafadhari
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Mitimingi nursery ltd - moshi tunahusika na miche za matunda,mboga,kivuli,uzio,mbao,dawa,na mazingira. Karibuni tutafungua tissue culture laboratory.kwa mawasiliano 0757510565. Fb page mitimingi...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza viwanja viwili kwaajili ya makazi. - Kimoja kina Ukubwa wa 33 x 20 na cha pili 30 x 30 - Vipo wilaya ya Hai (Bomang'ombe-Kwa wasomali) km 1 kutoka Barabara kuu ya Moshi - Arusha -...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi! Ninahitaji laptop at affordable price lakini yenye specifications zilizoenda shule. Bajeti yangu 500K. Specs ziwe: Processor: Intel core 5i or 7i RAM: At least 8 GB...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa anae hitaji Hard Disk 500GB kwa Bei Poa just 45,000Tsh nichek 0767322193
0 Reactions
1 Replies
683 Views
Habar wakuu,kwa mtu ambae anauza TV ya solar inch 32 aitha used ama new tafadhali ahitokeze tufanye biashara naiihitaj Bei maelewano
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kichwa cha habari tayari kimejitosheleza nahitaj tiv flat screen kuanzia NCHI 32 NA kuendelea' isiwe ya wizi nataka tubadilishane matatizo' Mwenye tatizo na pesa na mimi mwenye tatizo la tiv
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Bei n m18 pamoja Na jembe inatembea n inalima
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Inauzwa tsh 350,000. Mpya ipo na menu yake contact 0785544655
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta nguo ya kuvaa biharusi na bei yake pia
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…