Ndugu mjumbe.....Ni kubwa hata kwenye kamera ya simu halitoshi?
Weka picha mkuu
mama anganile mungu anakuonaView attachment 838220
Mungu anisamehe tu, maana hamna picha...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji13] [emoji13] [emoji13]mama anganile mungu anakuona
Hahahaha wee jamaaNi kubwa hata kwenye kamera ya simu halitoshi?
Mbona bei rahisi sana ni jipya?Banda jipya linauzwa ukubwa wa futi 5 kwa 4 eneo lilipo kimara mwisho mnarani bei laki 5 maelewano yapo namba ya simu 0686460146
Hapa umewaza kupililizaWewe ndo chuma mwenyewe au ni dalali wake?