Original Shaza Soap

Original Shaza Soap

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,875
Reaction score
10,198
Je unasumbuliwa na mapunye au chunusi za mda mrefu?

Basi solution lako ni shaza soap,sabuni kutoka burundi ambazo zimetengenezwa kutoka nchini burundi zenye mchanganyiko wa flavour ya lemon,zenye uwezo wa kuondoa chunusi na hata madoa sugu ya muda mrefu,miwasho na hata mapele

Pia huwafaa pia kwa wale wenye ngozi zenye mafuta mengi kwani hunyonya mafuta na kukuacha mkavu,na ni nzuri pia kwa watoto sababu humkinga na maambukizi ya bacteria hatari,zinapatikana kwa bei ya shilingi elf 2 tu ,na kwa katoni nzima zipo 36,nauza kwa elf 60 tu ni original nimetoka nazo burundi moja kwa moja

Karibu nikuletee mpka ulipo
0659756647 whatsapp

0623953036 piga
images-1.jpg
download.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom