Nyumba ipo bahari beach mtaa wa pili kutoka barabara iendayo ununio,kila apartment moja ina vyumba 3 self
Size plot 1600sqm
Bei 450,000/ Dollars
Kwa mawasiliano zaidi au kuja kuona wasiliana...
Friji aina ya hotpoint inauzwa dar mbezi beach goba road 370000 laki tatu na sabini tu ipo vizuri mfumo wake wa kupoza ni mkali ndani ya nusu saa ishapoza
0762612213 SMS/call
Projector aina ya...
Samaki aina ya kambare wanapatikana kwa bei ya 8500/= kwa kilo.
tupo kimara suca.
njoo uchague mwenyewe kutoka bwawani.
karibuni sana.
mawasiliano
0762397421
0672879278
Wandugu salaam
Nauza gari langu moja Toyota Brevis no T 214 CTH.Lina CC 2500 na Pearl colour
Halijawahi kupata ajali yoyote. Lipo Dar na bei ni Ml.7.7 tu. Kwa mhitaji serious anitafute katika...
Hellow
Wakazi wa MWANZA
kwa wale wapenzi wa fani hizo za urembo ambazo ni make up aina zote,kuremba kucha pamoja na kuchora Henna basi sisi tunafundisha fani hizo kwa gharama nafuu kabisa sawa na...
Plumbing & pipe fittings tunatoa huduma za kuweka mabomba ndani ya jengo / nyumba fittings za maji safi Hot water & cold water
Pia drainage system.
Sent using Jamii Forums mobile app
jenereta used kv 1 bei 110,000 hadi 100,000/=
kabati milango miwili- 150,000 hadi 135,000/= mwisho
makabati ya steshenari kuna ya 220,000/= na ya 180,000/=
compaq hp- pc peke yake 160 gd-hdd, ram...
Wadau,
Kwa yeyote anayehitaji shamba kwaajili ya matumizi mbalimbali kama kupanda miti au matunda nk. Shamba lipo sehemu nzuri lina ukubwa wa eka 650 na lina rutuba nzuri bei kwa eka ni sh...
Habari wana jamvini
Napenda kuwaletea vitu hivi kwa gharama nafuu tofauti na sehemu zote
1,ni mashine ya kujazia upepo
ambayo utatumia umeme wa gari yako tu,hivyo utapopata shida ya gari hakuna...
Habarini,wana jamii forum
leo nimewaletea biashara ya nyumba maeneo ya Tabata kisukuru...ni nyumba yenye(vyumba vitatu,kimoja ni master badroom)
Vile ndani ya hiyo hiyo nyumba kuna public toilet...
Wapendwa wana JF wenzangu, Natumaini hamjambo. Baada ya uhamisho wa kikazi, kunakopelekea kuhama pia makazi nje dar.
Nimeamua kuliuza shamba langu, Lina ekari 8. Shamba Lipo wilaya ya Kisarawe...
Bei sh. 395,000/=
Ipo kwenye hali nzuri haina tatizo kabisa
Kwa anaeitaji
Mazungunzo yako karibu sana
Call me 0717751644
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi shaka ondoa Perfect digital satellite ndo suluhisho la tatizo lako kwani tumebobea kwenye ufungaji wa madish na aina zote kurudisha signal zilizo potea pia tunafunga tv ukutan
Piga...
Wakuu Kuna nyumba iko sinza madukan karibu na kanisa la wa sabato Ina room 2, jiko, sebule, maji na umeme wa luku, bei yake ni laki 4 kwa mwez na mm nimelipa kwa miez 6 mpaka December mwaka huu...