Ghorofa ya Apartment 6 inauzwa Bahari beach

Ghorofa ya Apartment 6 inauzwa Bahari beach

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
3,203
Reaction score
2,227
Nyumba ipo bahari beach mtaa wa pili kutoka barabara iendayo ununio,kila apartment moja ina vyumba 3 self

Size plot 1600sqm

Bei 450,000/ Dollars

Kwa mawasiliano zaidi au kuja kuona wasiliana nami kwa

+255756060183

IMG-20180815-WA0086.jpg
IMG-20180815-WA0089.jpg
IMG-20180815-WA0091.jpg
IMG-20180815-WA0090.jpg
IMG-20180815-WA0085.jpg
IMG-20180815-WA0088.jpg
IMG-20180815-WA0087.jpg
 
bei imechagamka kwa bei hiyo jamaa kanunua hapa kkoo livingstone imekamilika yaani kahamia na nguo zake tu nikuangalia hiyo kama haija malizika
 
bei imechagamka kwa bei hiyo jamaa kanunua hapa kkoo livingstone imekamilika yaani kahamia na nguo zake tu nikuangalia hiyo kama haija malizika
Kweli bei imechangamka ila hizo ni apartment 6 ambazo Kila moja inajitosheleza na pia ukiamua kila apartment unaweza kupata hati yake
 
Ukiwa unaangalia FineLiving Channel Program ya HouseHunters nyumba ya usd 450k ni kali sana,450k usd unanunua nyumba kali USA.
Ni kweli kabisa ndugu na nyumba imekamilika na furniture za kutosha ndani , tena location ya maana yenye mandhari nzuri.
 
Kha! Hizo floor ni fupi fupi hata mbili kimo akisimama anagusa dari! Hapo super tall kama Hashimu Thabeet, akiingia lazima aingie kwa kutambaa!
 
Ukiwa unaangalia FineLiving Channel Program ya HouseHunters nyumba ya usd 450k ni kali sana,450k usd unanunua nyumba kali USA.
Tanzania nadhani kunatatizo kubwa sana maana nigeria tu $200,000 unapata mjengo mkali kuliko maelezo lakini huku jengo halijaisha linauzwa bilioni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom