Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Friji kama inavyoonekana katika picha inauzwa kwa shililingi za kitanzania elfu themanini tu (80,000/=). Ni nzima haina tatizo lolote. Kwa mawasiliano zaidi: KIWANJA CHA NDEGE/PLOT NO.215...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Simu aina ya Nokia 2 inauzwa. Imetumika mwezi mmoja tu na ina full documents. Simu pamoja na accessories zake: cover (autofocus), charger USB, ear phones. Bei 280,000 TZS maongezi yapo kiduchu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Alama za Barabarani Quiz Application ni Application ya simu inayokuwezesha kujifunza kuhusu ALAMA na kanuni za USALAMA BARABARA NI. Trial/free version Ipo Play Store na App Store: Alama...
1 Reactions
17 Replies
20K Views
Hakijatumika kimehifadhiwa tu.Vioo vmehifadhiwa pembeni visivunjike. Kipo M/nyamala bei 95k usafiri juu yako. Geuza simu uone muonekano wake kimesimamishwa hapo kilipo. Ni kipya kabisa ukipenda...
0 Reactions
0 Replies
448 Views
THE MECHANICS OF REAL ESTATE INVESTMENT: INVESTMENT STYLES USED BY REAL ESTATE INVESTORS IN DAR ES SALAAM (Guide to investing in Real Estate, Commercial, Residential and Commercial Cum...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujua kuna self storage service Dar? Kama ipo , maeneo gani na bei/mawasiliano, mwenye kujua tafadhali. [emoji1308]
2 Reactions
30 Replies
2K Views
kama vina vyoonekana katika picha vikiwa na hali nzuri Chombo cha kuokea keki tsh 10,000 raba tsh 15,000 gauni tsh 5,000 nipo dsm
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu natafuta sehemu ya kuweka mchele wangu toka mbeya kyela ili nianze kuuza maeneo ambayo ningependa iwe Mbezi mwisho au Tabata Reli au segerea kule bajeti yangu kwa mwezi haizidi laki Sent...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
DeletedMember281674
Habari wanabodi..! Inahitajika kwa haraka sana HOME APPLIANCE TRACKING SYSTEM ya kufunga katika TV, HOME THEATRES, RADIO, etc Kwa yeyote anayejua kampuni au anayeshughulika na HOME TRACKING...
0 Reactions
1 Replies
461 Views
Dearest, [emoji830]Leo naomba nishee nawewe kuhusu kitu kinaitwa crows feet. [emoji830]Crows feet ni mikunjo inayotokea pembeni ya macho hasa ukicheka. [emoji830]Mtu yoyote kuanzia miaka 25...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ninauza TILL za: 1. M-pesa = 170,000 2. Tigopesa =140,000 3. Airtel money=55,000 4. Halopesa =50,000 5. Ttcl pesa. =50,000 Bei ni nzuri kabisa na ninapatikana Mbeya mjini. Kama unahitaji...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta vyombo vya kuokea cake na mikate shepu mbalimbali, viwe vya bati aliye navyo please PM tufanye biashara.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Ama baada ya salaam naomba kama kuna mwenye kujua wapi nitapata taa za nyuma (hasa taa ya kushoto) za gari aina ya Starlet anijuze na bei kama inawezekana. Taa ni zile za ndizi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa wa 20 x 25 eneo la Bugarika Jijini Mwanza kinauzwa MILIONI TANO TU za kibongo. Wasiliana kwenye namba 0762524995.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KARIBU SANA MSOMAJI WA MAKALA MBALIMBALI KATIKA BLOG YETU(MTEGA BLOG) MATUMIZI YA BLOG 1.KUWEKA HABARI NA TAARIFA MBALAMBALI. Unaweza kutumia blog yako kuweka au kutangaza habari mbalimbali za...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wakuu nahitaji Kampuni ya kukodisha gari. Nina wageni wangu kutoka ulaya watakuja mwezi wa 11 watahitaji kukodisha gari kwa siku 5. Mambo mengine tutaongea nicheki nbox Sent using Jamii...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunakufikia popote ulipo kwa muda wowote na kwa haraka zaidi kwa bei ile ile, ndani ya kisiwa cha Unguja. Tunashughulika na ving'amuzi vya aina zote. 0778201526 AU 0653422776.
0 Reactions
2 Replies
898 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…