Natafuta chumba cha kupanga Sinza

luqman luqman

JF-Expert Member
Jun 14, 2014
839
1,364
Habari wakuu..
Natafuta chumba cha kupanga kuanzia mitaa ya Mlimani city, Mori, Rufungira, Kwa Remi mwisho makaburini na mitaa karibu na hapo.
Chumba kikubwa na self contained kitapendeza zaidi.
Sijaoa ni mwanafunzi wa Chuo kikuu( Jinsia ME)
Bei isizidi 120,000 kwa mwezi.
PM.
 
Mcheki huyuu
Screenshot_20180911-180159.jpg
 
Naam? Nielekeze vizuri mkuu na wengine wapate faida
Ana maana ya matapeli wengi mjini,wengine hushika vyumba ndugu zao wameasafiri..

Sasa huyo anakupangisha na kila kitu ndani we uende na begi tu au friji! Ni maoni tu ..

Mrejesho muhimu ukiwasiliana nae.
 
Sawa mkuu, by the way sehem hiyo ni mbali na target yangu.
 
Back
Top Bottom