Usajili taasisi za kidini

Usajili taasisi za kidini

Dseni

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
40
Reaction score
52
Napenda kuuliza wadau kuwa hivi ni kweli siku hizi serikali imefunga usajili kwa taasisi za kidini? Naomba ufafanuzi tafadhali. Na kama kuna mtu anayejua taratibu zote au anayeweza kufanya kazi ya kusajili kwa malipo anitafute kwa.
senishekinah@gmail.com
 
Back
Top Bottom