Gharama Za Kupata Kibali Cha Kurusha Matangazo Online

kiraza

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
403
Reaction score
582
Kwanza Kabisa Unatakiwa Kujua Kama Usajili huu hufanywa kwa njia ya Mtandao Pekee.
Fungua tovuti (website) ya TCRA (www.tcra.go.tz), upande wako wa kulia juu kuna maandishi yanasomeka (BROADCASTING) chini ya maandishi haya utaona linki yenye neno Online Content Application System bofya na uendelee na usajili.
Gharama Za Usajili ni kama Ifuatavyo Kwenye Picha Hiyo hapo Chini.
hgh.JPG

News Source ; Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)
 
Kwanza Kabisa Unatakiwa Kujua Kama Usajili huu hufanywa kwa njia ya Mtandao Pekee.
Fungua tovuti (website) ya TCRA (www.tcra.go.tz), upande wako wa kulia juu kuna maandishi yanasomeka (BROADCASTING) chini ya maandishi haya utaona linki yenye neno Online Content Application System bofya na uendelee na usajili.
Gharama Za Usajili ni kama Ifuatavyo Kwenye Picha Hiyo hapo Chini.View attachment 877953
News Source ; Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)

c.c Money Penny
 
Zinaliwa na akina magufuli hata vivuko vipya havijengwi
 
Back
Top Bottom