Cleaning services with super BONUS packages!

Cleaning services with super BONUS packages!

Fibanochi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
476
Reaction score
1,029
Habari za mchana wana JF, hasa wa jukwaa hili la biashara na ujasiriamali.

Tuna kampuni ya inayotoa huduma za professional cleaning (USAFI ) maofisini na sehemu zingine mbalimbali.

Huduma zetu ni za kipekee kwani zinaambatana za huduma za ziada za bure kama kutoa stationaries, water dispenser supplies, designing & printing ya business cards n.k. kulingana na makubaliano ya mkataba na mteja.

Tutakushukuru kwa namna ya kipekee endapo kama utafanikisha kupata "tander".

Je ungependa ungependa kujua zaidi kuhusu sisi au una swali wataka kuuliza tafadhari PM iko wazi...
 
Back
Top Bottom