Nahitaji mashine ya kunyolea inayotumia Betri

Nahitaji mashine ya kunyolea inayotumia Betri

Mpwidu

Senior Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
111
Reaction score
117
Wandugu Mtu yeyote anaefahamu au kuhusika na Upatikanaji wa hii bidhaa Kwa jumla NaMuomba Tuzungumze, Ni mashine ya kunyolea inayotumia betry pia inachajiwa katika Umeme.View attachment 877527View attachment 877528
IMG_20180925_130611.jpg
 
Nenda mlimani city kama uko dar

Ova
 
Mimi pia naihitaji hiyo! Hivi inauzwa Tsh ngapi?
 
10,000 rejareja kwa moja mtaani zimemwagika au nenda kariakoo karibu na shimoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom