Wanajamii forums nahitaji tractor used bongo Ila ambalo liko poa na tayari kwaajili ya msimu ujao wa kilimo. Aina iwe Massey Ferguson HP 165 au 375, au jingine linaloweza kuhimili na rahisi kupata...
Wanabodi na wajasiriamali husika na kichwa hapo juu.
Hii ni tractor aina ya MASSEY FERGUSON.
inauzwa na jembe lake kabisa.
Lipo Dsm, ila biashara inafanyika ukiwa popote.
Bei ni Milioni...
Nahitaji Toyota IST namba D... Tafadhali tuwasiliane haraka Budget Mil 7.8 kama kichwa cha habari kinavyosema kama una hiyo gari katika hali nzuri naomba uni PM ili tuweze kuongea Biashara. UWE...
Msaada wapi hizi material zinapatikana kwa hapa Dar, inawezekana jina likawa geni kwa wengine, ila ni liquid inayotumika kutengeneza mihuri ya mashine, mwenye kujua tafadhali tujuzane walipo...
habarini ndugu zangu gesi550 ni jina la gesi ya biogas inayo tengenezwa na kuzwa kama gesi zingne tofauti ya gesi hii tuna kupa na mtambo wa kuendelea kuzallisha gesi hadi mwisho wa maisha...
Ninauza lunchboxes kwa wafanya biashara wa jumla.Yaani mfanya biashara ananunua ili auze dukani kwake.
Kwa mzigo wa lunchboxes 10 ni laki 3 (300,000/-)
Faida ya kuwa na lunchboxes za aina hii ni...
Sony wireless microphone, Tsh 40,000/-
Below 100 metres
0-60 metres
High Frequency
Quality deliverable sound
Tunapatikana kariakoo, tunatazamana na kituo cha mwendokasi cha Gerezani
**mikoani...
kwa mahitaji ya LOGO za biashara yako, kampun na hata mtu binafsi.
Tunatengeneza kwa sh 50,000 tu.
ntafte Whatsap no 0654213122.
SMS only.
hzo n baadh ya kaz zangu;
0654213122 whtsapp
Sent...
Wadau napenda kufaham plain T-shirt ambazo zina ubora kwa hapa Tanzania nikimaanisha kwa wauzaji wa mikoa yote kiujumla bei yake ipoje kama mtu anahitaji kununua kwa jumla jumla sio moja au mbili...
Habari huku
Nahitaji mbao ya mninga ,mbao 400 zenye futi 8-10. Ama mbao ngumu isiyoweza kuliwa na mchwa kwa urahisi. Niko moshi bei za hapa zimenizidi uwezo kwahyo ambae tunaweza fikia bei...
Habari wakuu kumekucha kutafuta pesa sasa
Niende mojakwamoja kwenye mada tunahitaji kampuni ambayo inajishughulisha na EVENT ORGANIZE tunampango wa kufanya universally ya miaka kadhaa tangu...
I hope mko poa wakuu.
Direct to the point...
Kwa muda sasa nimekua interested na matangazo, napenda sana kusikiliza matangazo ya radio, tv hata nikiona tangazo (lolote tu lile) kwenye gazeti au...
Shule ina Mazingira Mazuri na Rafiki kwa utoaji wa Elimu Bora na Malezi kwa Mtoto. Wahi FOMU mapema, mitihani ya kujiunga itafanyika Oktoba 20, 2018 siku ya jumamosi.
Habarini za jioni,
Kama wewe ni mtumiaji wa machine ya EFD nauza paper rolls na ninakuletea mpaka dukani/ofisini kwako.
Delivery ni bureeee kabisa.
Karibuni wapendwa no za simu 0767819395