Hahaha..sasa ubishoo wako wewe ni wa nini??daaaaah hadi machozi yamenilenga natamani hata kulia
ubishoo co kwenye hela mkuuHahaha..sasa ubishoo wako wewe ni wa nini??
Ni kwenye nini sasa??ubishoo co kwenye hela mkuu
Hiyo hela unafungua duka la sim za tecnodaaaaah hadi machozi yamenilenga natamani hata kulia
@waziriwakaskazini roho imeniuma kama hela nimeitolea jasho vileHiyo hela unafungua duka la sim za tecno
Ukinipa only laki 7 nakuletea Simu full box kitoka UK.
Sijaja DM ili na wengne wanufaike.
Ukinipa only laki 7 nakuletea Simu full box kitoka UK.
Sijaja DM ili na wengne wanufaike.
Kwa hio upewe kwanza pesa ndio ulete simu?Ukinipa only laki 7 nakuletea Simu full box kitoka UK.
Sijaja DM ili na wengne wanufaike.
Jamaa anaweza kupiga watu Ndita...Kwa hio upewe kwanza pesa ndio ulete simu?
Pm yako kuna shida, ipo IPhone X na box lake full package kama unahitaji, ila ongeza offer kidogo,Kama Kichwa cha habari kinavyosomeka Iphone 7 plus full box bajet 1.2Mil
DM kama ipo