Nahitaji Tractor

Nahitaji Tractor

clento

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
14
Reaction score
30
Wanajamii forums nahitaji tractor used bongo Ila ambalo liko poa na tayari kwaajili ya msimu ujao wa kilimo. Aina iwe Massey Ferguson HP 165 au 375, au jingine linaloweza kuhimili na rahisi kupata spea. sio ya kihindi please, budget 15-20mil inategemeana na hali ya tractor. Mwenye idea anipm
Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubungo Darajani huwa nayaona hayo unayoyataka,Massey na used. Babu yangu alikuwa na John Deere alifariki miaka ya 80 lkn mpaka kesho kitu kinasukuma mzigo,ulizia na hiyo inaonekana ni chombo hasa
 
Wanajamii forum nahitaji tractor used bongo Ila ambalo liko poa na tayari kwaajili ya msimu ujao wa kilimo. Aina iwe Massey Ferguson HP 165 au 375, au jingine linaloweza kuhimili na rahisi kupata spea. sio ya kihindi please, budget 15-20mil inategemeana na hali ya tractor. Mwenye idea anipm
Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu jaribu kuwasiliana na KC GLOBAL LINK ni vijana wa ki Tanzania wako UK wanaweza kuwa na msaada kwako wacheki fb kwa jina hilo
 
mkuu jaribu kuwasiliana na KC GLOBAL LINK ni vijana wa ki Tanzania wako UK wanaweza kuwa na msaada kwako wacheki fb kwa jina hilo
Asante mkuu nitajaribu kuwachungulia nipate mwanga kama naweza pata la UK kwa kabajeti hako safi. Ila recently naona hizi used from abroad na mpya zimeshoot sana bei sijui kodi imerudishwa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
John deere ni mazuri pia ukitaka naweza kuku unganisha au nikupatie No ya kuulizia kabisa offisini kwao

Kama upo mikoani kuna branch pia

In ua Presence Jesus is where I belong
 
sina hakika kama kodi imerejeshwa ila kama miezi mitatu nyuma jamaa walikuwa nalo na wakasema hakuna kodi ni naulu yako na gharama ya mzigo halafu uzuri ni kuwa unalipia hapahapa kwa wakala wao
 
John deere ni mazuri pia ukitaka naweza kuku unganisha au nikupatie No ya kuulizia kabisa offisini kwao

Kama upo mikoani kuna branch pia

In ua Presence Jesus is where I belong
Mkuu umeona kabajeti kangu? Naona John Deere toka Lonagro Ila bei zake ni kubwa sana zipo nje ya bajeti yangu [emoji17]
 
Back
Top Bottom