Msaada, biashara ya Advertising agency company

Msaada, biashara ya Advertising agency company

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,372
Reaction score
1,207
I hope mko poa wakuu.

Direct to the point...

Kwa muda sasa nimekua interested na matangazo, napenda sana kusikiliza matangazo ya radio, tv hata nikiona tangazo (lolote tu lile) kwenye gazeti au mtandaoni navutiwa kuiangalia na hua najiulizaga maswali mengi sana behind the scene kama ni nani aliweka tangazo hilo?, mweka tangazo hilo alikua ana target aina gani ya wateja?, je kwa platform hiyo aliyoitumia ata meet desired customers aliowakusudia?,

tangazo hili limetengenezwaje tengenezwaje? (kama ni la video or audio) maswali haya na mengineyo mwisho wa siku yalinifanya ni conclude kwamba ndani yangu nina interest ya kufanya biashara ya kutengeneza matangazo.

So, nataka kuigeuza hii passion kua fursa ya kuniingizia kipato sasa shida inakuja hata siijui hii biashara inafanyweje! Katika kutafuta tafuta kwangu huku na kule nikagundua hawa watu wanaofanya biashara hii wanakua na kampuni zao zinaitwa Advertising agency or marketing agency (something like that) lakini sijajua A, B, C zake ni kwa vipi wanaiendesha hii biashara vitu kama wanapataje wateja, terms and conditions za kufanya hiyo biashara zikoje, natakiwa niwe na wafanyakazi wa aina gani na watakua na majukumu yapi? e.t.c

Naamini jf ni kisima cha maarifa, mahali tunapokutana wanajamii wenye career mbali mbali na mawazo tofauti tofauti niko tayari kupokea mawazo yenu naombeni msaada katika hili.

Nawasilisha
 
Yeah, hili swala lipo tena watu wanakula hela kiulaini tu...ukifikia mda ukaelewa how this agencies operate njoo tuwasiliane kupitia 0767881407 tufanye kaz ya kuitangaza kampuni yangu
 
Yeah, hili swala lipo tena watu wanakula hela kiulaini tu...ukifikia mda ukaelewa how this agencies operate njoo tuwasiliane kupitia 0767881407 tufanye kaz ya kuitangaza kampuni yangu
Shukrani kwa tenda mkuu i hope to see you very soon,
 
Mi nimejikita kwenye online marketing ambayo unawalipa facebook, wanakuonesh fb users wa service kabla hujatangaza e. g. 400 school owners, nicheki kwa :0713-039875
 
una wazo zuri la kujikita kwenye biashara ambayo moyo wako umevutiwa......ni nzuri na inalipa......ila inachangamoto lukuki sana....kubwa kuliko zote ni haki miliki... unaweza kufanya ubunifu (creative) wa tangazo kabla hamjaafikiana na client wako.....waweza shangaa liko hewani.....kuna aina ya watu wanayo hiyo tabia... dont trust anybody....am in that industry ni uzoefu wa kutosha...au unaweza kutumika kama daraja....kuwa makini na endelea kujifunza polepole.....kazi zipi sana tuu...
 
Mi nimejikita kwenye online marketing ambayo unawalipa facebook, wanakuonesh fb users wa service kabla hujatangaza e. g. 400 school owners, nicheki kwa :0713-039875
Ok, umenipa angle nyingne ya kuifanya hii business tutawasiliana mkuu [emoji106]
 
una wazo zuri la kujikita kwenye biashara ambayo moyo wako umevutiwa......ni nzuri na inalipa......ila inachangamoto lukuki sana....kubwa kuliko zote ni haki miliki... unaweza kufanya ubunifu (creative) wa tangazo kabla hamjaafikiana na client wako.....waweza shangaa liko hewani.....kuna aina ya watu wanayo hiyo tabia... dont trust anybody....am in that industry ni uzoefu wa kutosha...au unaweza kutumika kama daraja....kuwa makini na endelea kujifunza polepole.....kazi zipi sana tuu...
Mkuu unaweza kunipa hata A, B, C nianzie mguu gani, like mfano nikiwa na idea ya tangazo la radio procedures zikoje?
 
Mkuu unaweza kunipa hata A, B, C nianzie mguu gani, like mfano nikiwa na idea ya tangazo la radio procedures zikoje?
Hata ukiwa na Idea,,,, mteja wako ni nani......one thing is mteja wako anataka nini....na mteja wako anadeal na nini....kuwa na idea tuu sio solutions,, you can start kama freelancer kwanza.....ila msingi mkubwa ni kuwa na utaalamu, hasa wa programu zinazotumika kuandaa, za PC na ziko za aina nyingi,,,,,unaweza kuwa na mtaalamu, but sio cheap,.. ...sio safari fupi, ila ukidhamiria utaweza...
 
Izi kampuni cku izi ni ngumu sn hela hamna na makampuni hayatoi matangazo ya biadhaa zao km zamani
 
Hata ukiwa na Idea,,,, mteja wako ni nani......one thing is mteja wako anataka nini....na mteja wako anadeal na nini....kuwa na idea tuu sio solutions,, you can start kama freelancer kwanza.....ila msingi mkubwa ni kuwa na utaalamu, hasa wa programu zinazotumika kuandaa, za PC na ziko za aina nyingi,,,,,unaweza kuwa na mtaalamu, but sio cheap,.. ...sio safari fupi, ila ukidhamiria utaweza...
Sawa sawa nmekupata mkuu, let me see where to start!
 
Mkuu mbona nayasikia sana kwa radio na tv au....?
Mkuu kwa ufafanuzi zaidi na kujua nini cha kufanya baadae nenda kwenye makampuni Kama ya mawasiliano, vyakula eg, vodacom, Airtel, Tigo Tanga fresh unatafuta angalau tangazo lao moja unaenda nalo na nia yako ya kuliboresha zaidi, huko utapata idea nyingi, Idara zao zinaitwa Sales and Marketing.
 
Back
Top Bottom