Habari,
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ila TV iwe imetumika kwa muda mfupi yeyote mwenye nayo nahitaji ndani ya masaa 12 kama unayo njoo PM andika bei na namba yako ya simu.
Ahsanteni.
Kwa Huduma Zote Za Kiufundi Umeme Kila Kitu Kwetu Kinathaman Kubwa Xana Uku Tukizngatia Ubora Wake Na Utendaj Wake
Kwang Mimi Ni Sehemu Pekee Ambayo Utapatiwa Huduma Zote Za Kiufundi Umeme Pamoja...
Kwa wadau na wafanya biashara wote wa matunda napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha kwamba kuanzia tar 20.05.2013 ntakua na mzigo wa kutosha wa matikiti maji.Natajia kua na takribani pc 110,000...
Nina mbolea ya mavi ya popo natafuta soko la kuyauza debe 45.000/= maelewano yapo Napatikana Tabora Sikonge wale wanaopenda kilimo kisicho cha kemikali tuonane nikuuzie ni mboleanzuri ambayo...
Specifications
1. RAM 2GB
2. Processor 2.4 GHz
3. Software Mac OS X Lion 10.7.5
4. 13 inch
5. Serial Number 45102HFQF.....
6. HD 256 GB
PRICE: 450,000/= (Negotiable)
Location : Iringa
Call &...
Wakuu habari za mchana huu. Natumai wote muwazima na mnaendelea katika pilikapilika za kulijenga taifa hili husika na kichwa cha uzi huu hapo juu. Nimelima muhogo katika shamba langu huko Tanga...
Salam wakuu !
naomba mnifaamishe bei ya kununua pikipiki aina ya honda super cube cc125 mpya kwa maduka (masoko) ya dar-es-salam. Na ubora wa hiki chombo cha moto.
Asanteni.
Sent using Jamii...
Wakuu,nauza TV yangu ndogo nchi 14 aina ya THOMSON iko na remote,ni fully HD.. inafaa kwa matumizi kama ya Saloon. Nipo DSM.
Kama ukihitaji ni PM uje tuitest.
Bei 75000/=.
Maelewano mpaka uione.
Simu ipo kwenye hali nzuri
Imetumika miezi miwili tu
Ina rangi ya gold
Camera 8mp
Ram 2gb
Rom 16gb
Ina fingerprint
Dirac speaker
Haina shida wala tatizo lolote lile.
Bei 200k tu!
Kwa...
Nyumba mpya ya kisasa inapangishwa maeneo ya Mbezi beach- Africana. Vyumba3 self-contained kimoja master bedroom, sitting room, kitchen, public toilet, store, parking kubwa,Nyumba safi...
wakuu samahani kuuliza sio ujinga hivi bei halisi ya mtungi mdogo wa gesi pamoja na jiko lake sh ngapi hapa dsm maana huku nakoishi kitunda kuna maduka yanauza 65,mengine 78 hivi bei halisi ipi...
Salaam,
Nyumba inauzwa ipo banana (KITUNDA)
(8km from airport)
Maelezo:
Ina vyumba vinne vya kulala (kimoja ni master bedroom), jiko, sebule, store, dinning room na public toilet.
(Ukubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.