Ziwe t-shirts ambazo zitachapwa maneno au picha Na kuingizwa sokoni Na ziwe Na ubora wa kati ambao Wateja watazipendaPlain T shirt inategemea na aina Yake pamoja na ubora, kuna zinazoanzia elfu tatu hadi elfu ishirini inategemea na wewe unahitaji aina gani na kwa mahitaji gani
Round cola au 4m 6Ziwe t-shirts ambazo zitachapwa maneno au picha Na kuingizwa sokoni Na ziwe Na ubora wa kati ambao Wateja watazipenda