nahitaji vijana 5 waliotayari kwa ajili ya kupata mafunzo ya kuflash simu (sofware) mafunzo nitayaendesha zilipo ofisi zangu kigamboni. kwa muda wa wiki2 mfululizo watakao kuwa tayari naomba...
habari wadau..
natafuta laptop nzuri ya kufanyia kazi... kama graphic desidgner.. karibuni wenye nazo.. mnaoziuza....isizidi laki 8..
wajanja wajanja mkae pembeni.. najua nachokitaka...
leteni...
Habari wanajukwaa,
Rejea kichwa cha habari, wakuu nina shida ya bidhaa fulani kutoka india, ni raw materials zipo katika liquid form, ila zimepakiwa kwenye galons na zinauzwa kwa kilograms, ambapo...
Nauza fridge aina ya LG
Milango miwili bei 370,000/=
Pia Washer machine aina ya WESTPOINT
Bei 230,000/=
Unaweza kuja kuona na kuridhika navyo napatikana Dar
Sababu ya kuuza.:Nahamia mkoani...
Mshindi wa droo ya kwanza wa promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa inayoendeshwa na kampuni ya kubashiri Tanzania SportPesa amepatikana leo Ijumaa 21, Septemba 2018.
Ntale Lusalula Rajabu (21)...
Kama kuna mtu humu analifahamu kampuni lolote ambalo limeshapata Power Purchase Agreement na Tanesco na linatafuta muwekezaji kwa ajili ya kuzalisha umeme wa solar kuanzia 50-200MW anitafute kwa...
Tablet inauzwa 120000
Storage 16gb
Ram 1gb
Camera 8MP
Touchscreen yake imecrack ni ya kubadilisha
Imetumika miezi 6 tu
Nje ya hapo haina tatizo lingine lolote.
Karibu pm kwa interested buyers
Wakuu nina pesa kiasi cha 200,000 nahitaji PC either mpya au used iliyo ktk khali nzuri
Battery iwe ina uwezo wa kukaa na charge masaa 2 nakuendelea
Itapendeza kama utaweka Aina ya laptop...
Jipatie hostel ya kisasa kabisa;
Ipo Kigamboni, vyumba ni masters kila kimoja shared,umeme wa solar upo,maji yapo,karibu sana na pantoni,inafaa wanafunzi wa ifm,cbe,utumishi,mnma.bei 60,000 kwa...
Nahitaji Toyota IST namba D... Tafadhali tuwasiliane haraka Budget Mil 7.8 kama kichwa cha habari kinavyosema kama una hiyo gari katika hali nzuri naomba uni PM ili tuweze kuongea Biashara. UWE...
Tanzania Network Exhibition (NETXPO) is an annual exhibition event held in Dar es Salaam, Tanzania targeting internal and external network service providers, traders (local and international...
Kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti SportPesa Tanzania Ndugu Tarimba Abbas akizungumzia promosheni mpya iliyozinduliwa na kampuni hiyo ijulikanayo kama SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA, pembeni...
Simu tajwa hapo juu(blackberry q5),inauzwa..
Back Camera:5mp
Front Camera:2mp
Internal memory:8gb
Ram:2gb
Ina 4G network
NI screen touch pia ina keypad
Kwa matumiz mazito sana Inakaa na chaji...
desktops
1. Dell, Hp, Compaq (OPTIPLEX 320)
sifa:
-RAM 1 GB
-PROCESSOR-3.2 GHZ
-HARD DISC 160
MLANGO- CD WRITER
BEI KWA KILA MOJA KWA HIZO ZA JUU NI 160,000/= BILA MONITOR UKITAKA NA MONITOR FLAT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.