swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,630
Habari wapendwa,, Nina uhitaji mkubwa wa mbegu za Azolla, kwa yeyote Aliye nazo au connection ya kuzipata Naomba tuwasiliane.PM.
Ulifanikiwa kupata? Au PM wadau walikuja kwa mengine?Habari wapendwa,, Nina uhitaji mkubwa wa mbegu za Azolla, kwa yeyote Aliye nazo au connection ya kuzipata Naomba tuwasiliane.PM.View attachment 868734View attachment 868735