massaliclan
Member
- Oct 11, 2016
- 47
- 16
Wana ndg naomba msaada wenu,tv yangu inaonyesha mchele mchele,kuna madogo wamechezea na mm sio mtaalamu wa mambo ya tv na rimoti zake,
Nifanyeje ili niset na kurejesha ktk hali yake
Nifanyeje ili niset na kurejesha ktk hali yake