Natafuta mpishi wa vitafunwa

Natafuta mpishi wa vitafunwa

Tojobizy

Member
Joined
Mar 6, 2018
Posts
23
Reaction score
19
Habari ndugu wana jukwaa? Nipo kigoma natafuta mpishi wa vitafunwa kama Chapati, maandazi, halfcake, donat, donas, kaukau, piza, sambusa, kastam, kachori,eggchop, kababu na maandazi. Nitafute kupitia 0758713535
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom