Nyumba ina vyumba 8 na frem moja ya biasha na ina kieneo kidogo cha mabanda kimebaki
Mita 100 kutoka lami
Panafaa kuboresha kwa ajili ya makazi, kwa biashara kama Gest house au apartment pia...
Nyumba ipo kunduchi beach ina vyumba 8 na frem moja ya biashara na pia ina banda la uwani
Gari inafika hadi kwenye nyumba na jirani kabisa na barabara ya lami
Size plot 700sqm
Panafaa Gest...
nauza laptop aina ya samsung inchi 14 display
core5
RAM 4Gb
hard disk 500Gb
imetumika lakn haina tatizo
Ntafute kwenye namba
Bei Tsh 250000
0763403330
0675314966
Mirunda inauzwa Bei nzuri, Ni aina ya mitiki. Na inapatikana hapa hapa Dar. Mzigo upo wa kutosha....tunayo stock Hadi kufikia mirunda 5,000. Kazi ipo kwako tu kunitafuta na useme unahitaji kiasi...
Ndugu wanaJF,
Nahitaji mikeka ya idadi hiyo na vipimo kama ilivyo kwenye kichwa cha habari.
Bajeti yangu ni 3500/= kwa mkeka,hivyo kwa mikeka 100 ni 350000/=.
Napatikana Dar es Salaam.
Kwa...
Ghorofa lina fremu 5 , pamoja na nyumba yenye vyumba 10 ambayo ni sehemu ya eneo linalouzwa, bei tajwa ni kwa vyote yaani hilo ghorofa na hiyo nyumba.bei ni MILLION 320 mazungumzo yapo piga
SIMU...
Bei tsh 50,000/-
You want Iron Box which is automatic and easy iron your clothes by just selecting the clothing material with no worry of burning your cloth? Yes this is the one your were looking...
Bright future superior manufactures of america BF SUMA
Makao mkuu California Marekani
Tanzania makao makuu yake ni msasani
Products zetu ni za asili kwa asilimia 100%
Zipo aina ya bidhaa zaidi...
Jipatie viatu vizuri na vya kisasa kabisa
Vyakike kwa bei nafuu kabisa
Kuanzia 3500 hadi 11000 jumla na reja reja
Kwa Dar es salaam napatikana kariakoo lakini pia free derivery service ipo...
Wadau nimepata uhamisho natakiwa niripot mtwara tarehe 1vNov 2016 .Hivyo sina budi kuhama ikiwa bado miezi miwili kodi iishe kuanzia Nov 1. Hivyo basi ujiwa na kodi ya miezi miwili unirudishie...
Habari wakuu natafuta masta room maeneo ya kimara (bucha-rombo),sinza,survey na mikocheni
Vigezo
Kiwe cha njee yani sio ndani ya nyumba
Maji yawepo
Mbali na msikiti,kanisa au bar
Wapangaji...
Kama unapenda Movies, Karibu uwe member na uweze kupata muvi (movie) zote kali, zenye ubora wa hali ya juu (high quality). Mpya za mwaka huu na za zamani. Zote kali.
Kiingilio cha kuwa member ni...
........ NOLAN TOMATO PASTE.........
Mchuzi Mtamu Radha Tele
Inasambazwa na Bahari Cosmetics Ltd,Nyerere Road Dar es salaam.
Kwa bei ya Jumla na Rejareja ikiwa katika ujazo tofauti tofauti
Piga...
Kwema wakuu,
Kutokana na changamoto za maisha, natafuta part time job kuanzia mwezi ujao mwishoni katika jiji LA Dar.
Ni professional Eng. Nina uwezo wa kufanya kazi katika kiwanda chochote cha...
Habari, Nauza kiwanja changu, Kiwanja No. 1015 kitalu PP (HD)
Mtaa wa MAGEUZI SHINYANGA MANISPAA
Kiwanja kina OFA.
Kiwanja kipo karibu na barabara, Pia nguzo za umeme na maji vipo karibu.
Bei...
Pata Profesional design ya Logo, Certicate, nk
Pia pata Mifumo mbali mbali ya kuendesha shuhuli zako mfano shule, hospital and pharmacy kwa bei nafuu 0765038814, Kwa mikoa yote Tanzania.
Nina Smartwatch mpya naziuza.
Unaweza kuweka laini na memory card kwahiyo unaweza kupiga simu na kupokea simu.
Pia utatuma SMS na kupokea.
Ukiunganisha na Bluetooth kwenye cm yako unapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.