Kiwanja kinauzwa kipo Ununio

Kiwanja kinauzwa kipo Ununio

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
3,203
Reaction score
2,227
Kiwanja kipo ununio kilimo kwanza, mtaa wa pili kutoka lami

Size plot 1200 sqm
Pamepimwa na pana hati

Bei 120m

Bei inamaongezi kidogo

Mawasiliano na maelezo zaidi ongea nami kwa

0756060183
 
Kiwanja kipo ununio kilimo kwanza, mtaa wa pili kutoka lami

Size plot 1200 sqm
Pamepimwa na pana hati

Bei 120m

Bei inamaongezi kidogo

Mawasiliano na maelezo zaidi ongea nami kwa

0756060183
Picha za eneo
IMG_20181022_090403.jpg
IMG_20181022_090414.jpg
IMG_20181022_090417.jpg
IMG_20181022_090417.jpg
IMG_20181022_090512.jpg
 
Hapana mkuu. Maisha yapo ila watakatisha fedha wamepigwa kibano. Kwa maisha ya kwaida hapo utakuwa unacheza. Hizi bei zilikuzwa na watakatisha fedha
Oky sawa ingawa pia hiyo bei ni kwa kipindi hiki hapo awali ilikuwa zaidi ya hapo ila yote kwa yote bado maisha yanaendelea hata kama
 
Njia ya maji maana karibu na kwa DC kippi waryoba panajaa sana maji
 
Hiyo bei ya Nyumba au kiwanja?!
Hata huko Masaki sijui kama bei hiyo inafika kwa sasa!
 
Mtoa mada labda uwarahisihie wasione kuwa bei iko juu. Weka kuwa square mita moja ni sawa na shilingi ngapi halafu wakizidisha mara hizo mita 1200 watapata jibu wanatakakiwa walipe shilingi ngapi.

Ila ifike mahali serikali iweke bei elekezi, yaani ukinunua kiwanja serikalini kwa square mita 1 tsh 4,000/- hutakiwi kukiuza zaidi ya square mita kwa shilingi 8,000/-. Mizani ina umuhimu sana kwenye vipimo kumlinda mlaji na muuzaji.

Kila la kheri.

OUT OF TOPIC: Gari yako altezza nzurii, napendaga magari meusi. ....😋 😋 natumai ndani linanukia vizuri kama linavong'aa kwa nje.

K' Matata.
 
Mtoa mada labda uwarahisihie wasione kuwa bei iko juu. Weka kuwa square mita moja ni sawa na shilingi ngapi halafu wakizidisha mara hizo mita 1200 watapata jibu wanatakakiwa walipe shilingi ngapi.

Ila ifike mahali serikali iweke bei elekezi, yaani ukinunua kiwanja serikalini kwa square mita 1 tsh 4,000/- hutakiwi kukiuza zaidi ya square mita kwa shilingi 8,000/-. Mizani ina umuhimu sana kwenye vipimo kumlinda mlaji na muuzaji.

Kila la kheri.

OUT OF TOPIC: Gari yako altezza nzurii, napendaga magari meusi. ....[emoji39] [emoji39] natumai ndani linanukia vizuri kama linavong'aa kwa nje.

K' Matata.
Hahaa sawa ndg, nimefrahi mstari wa mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom