Wadau Nahitaji Oil Pump

Wadau Nahitaji Oil Pump

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
38,995
Reaction score
79,070
Kuna gari limetusumbua hapa na kinachohitajika ni oil pump.

Tumezunguka Gerezani, Buguruni, tumeongea na mtu mmoja akiwa Mbeya naye kaonyesha hana hicho kifaa. Vilivyopo haviendani na inayotakiwa.

Nimeamua kulileta kwenu hili swala kwa msaada zaidi.

Noah 7K townace.

Wahitaji tupo Dar es Salaam.

Mawasiliano ni 0716001838. Pia unaweza kunifuata PM.

Ofa iliyopo mezani ni shilingi elfu tisini (90,000).

IMG_20181028_100114.jpg


IMG_20181028_100131.jpg


IMG_20181028_100136.jpg


IMG_20181028_100143.jpg


IMG_20181028_100151.jpg


IMG_20181028_100157.jpg
 
Taja aina ya gari ndugu, kama una chassis number, ni rahisi zaidi.
Aina ya Gari ni Noah 7K Townace. Dah nina limited info kuhusu chassis number kwa muda huu nipo mbali na gari.
 
Kwa details ulizotoa, inawezekupatika genuine ya Toyota, from Japan kwa kama dola 70 hivi kabla kodi. Ngoja niulize kwa jamaa yangu mmoja nitakupa taarifa.
Shukrani
 
Usiwaze JF kuna spare zote...subiri wata kutumia kwa text uzi convert kua chuma [emoji57]
 
Back
Top Bottom