Front vision academy. S l p 23 Dar es salaam.

Front vision academy. S l p 23 Dar es salaam.

kimu mazengo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
927
Reaction score
734
Hii ni taasisi inayotoa elimu nyumbani (education service at home) na yenye mwalimu wa kutosha wenye taaluma ya ualimu .tunafundisha masomo ya shule ya msingi na sekondari.kidato cha kwanza hadi cha sita.tunafundisha masomo yote (masomo ya sayansi na sanaa).tunafundisha pia elimu ya watu wazima(QT) na ENGLISH COURSE.
Tunapatikana jijini Dar es salaam kigamboni TANZANIA.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie namba.0659639793/0765021692/0765274182/0658577639.Karibuni sana. OUR MOTTO:education is leadership .
 
Back
Top Bottom