Habarini, Kiwanja kipo mbuyuni unaingia ndani kidogo kama kilometa mbili kasoro
Kiwanja ni tambalale,huduma kama maji,umeme na barabara vyote vipo
Kiwanja kina uzwa 45mil.Karibuni lakin kwa...
Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, Engine capacity ni 1998, imetembea KM 159470.
Bei ni shilingi 8000000 tu. Ipo Dar-Es-Salaam. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0713629999
*Printa inauzwaa dar *kiwa na sifa zifuatazo
Colour printing
Photocopy
Scanning safisha picha zako kwenye simu au laptop katika HD
0762612213 ipo dar mbezi beach
Bei yake laki tano tu
Wale ambao mnahamia makao Makuu Dodoma karibuni kwa Viwanja,Nyumba na Mashamba aina zote
-Viwanja na Nyumba za Biashara
-Viwanja na Nyumba za Makazi
-Mashamba ya kununua na Kukodi
Call and...
Boss kashusha anahitaji Million 60 chapu kwa haraka vyumba 3 sebule kubwa store,jiko,parking kubwa fensi,gati,tank la kuhifazia maji liter 500
Location Ipagala Dodoma Mjini
Piga simu...
Habari wakuu, nahitaji nokia obama nne (nokia 1280) zile nokia za button imara toleo la zamani (zisizofutika button haraka kama za kariakoo za sasa hivi). Rangi yoyote iwe nyeusi, blue, nyekundu...
Kiwanja chenye Hati miliki/tittle deed, ukubwa wa ujazo (Square meter) 954 (ujazo wa kati yaani medium density)kipo kwenye mradi wa Madaganya Manispaa ya Morogoro, Barabara ya Morogoro-Iringa...
Habari zenu wanajamvi nina kuku wa nyama wapatao 200 ambao Mungu akipenda kuanzia tarehe 17/12/2018 nitaanza kuwatoa
Hivyo naomba kama mtu ana uitaji na kuku hawa aje ani PM ili aweke oda mapema...
Pamoja na dollar zote wanazokusanya kila siku lakini hata website tu wameshindwa, www.tanzaniaparks.go.tz seemsto be dysfunctional.
Wanatangaza kazi, wanasema uombe online, sasa fungua hiyo...
Habari zenu wapendwa.
Mchele huo super kilo 1600 ukichukua kuanzia kilo 20 tunakufanyia 1500
Delivery utachangia kidogo press order yako karbuni sana.
Kwa mawasiliano tupigie kwa no 0713336158
Habari zenu? Nina mtu namjua alikuwa na kibanda leo kwenye shuguli ya Firsta pale Leaders,kuku (100)bila kusahau nyama fillet ya mishkaki, utumbo supu ndizi mikungu ya kutosha. Kwa anayehitaji kwa...
used samsung galaxy grand prime 1
ram 1gb
internal memory 8gb
colour black
internet 3g
dar es salaam
Bei 140, 000
contact 0712518770
picha tuwasiliane nikutumie watsap mana ku upload imenigomea
Audi A4
Year---2005
Engine---1980cc
Drive---2wd
Other option---AW FOG L-SEAT L-SEAT
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
BEI---12.5mil
{unaweza kulipia awamu mbili}
malipo ya kwanza---6.7mil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.