TANAPA: Omba kazi online

TANAPA: Omba kazi online

Kaziutumishi

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2018
Posts
325
Reaction score
385
Pamoja na dollar zote wanazokusanya kila siku lakini hata website tu wameshindwa, www.tanzaniaparks.go.tz seemsto be dysfunctional.

Wanatangaza kazi, wanasema uombe online, sasa fungua hiyo website ya Tanapa utaelewa tunakoelekea. Au walitangaza geresha tu?
 
Acha uongo Mbona inafungika vzr tuu.hapa unataka useme uongo Dhidi ya mamlaka huru!!!
 
Pamoja na dollar zote wanazokusanya kila siku lakini hata website tu wameshindwa, www.tanzaniaparks.go.tz seemsto be dysfunctional.

Wanatangaza kazi, wanasema uombe online, sasa fungua hiyo website ya Tanapa utaelewa tunakoelekea. Au walitangaza geresha tu?
Hata ukioa siyo kila siku unaweza pata Haki yako kwa Mkeo. Kuna siku Mkeo atakuwa kwenye siku zake.
 
Hawa ni wasenge tu kama wasenge wengine.. Kila siku ajira ajira wanasumbua RAIA tu.. Kama vp wabaki na ajira si tuko zetu shamba twapiga kazi..
 
Ok you're right, I understand it's not your fault but the work of genetics that needs to be blamed for your low iq
Low IQ inajua maneno mawili muhimu ambayo ni kuwezekana au kutowezekana.
Wewe mwenye kipimo cha IQ nakushauri ujipime ili ufahamu status yako.
 
Back
Top Bottom