A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,131
- 1,598
Habari zenu wanajamvi nina kuku wa nyama wapatao 200 ambao Mungu akipenda kuanzia tarehe 17/12/2018 nitaanza kuwatoa
Hivyo naomba kama mtu ana uitaji na kuku hawa aje ani PM ili aweke oda mapema
Bei ni shilingi 7500 kwa kuku mmoja
Pia kuanzia mwakani nitakuwa nauza mayai ya kuku wa kienyeji pure tray 12000
Kuku aina ya Kroila saso na malawi tray shilingi 12000 kwa wenye uitajo naomba wanitafute Pm
Ninapatikana Moshi Mjini
Natanguliza shukrani zangu kwenu naamini nitapata ushirikiano wenu wadau
Asanteni na karibuni