Gari aina ya booster ya kukodishwa inahitajika

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Boss wangu anatafta gari aina ya booster yenye uwezo wakubeba tan 33 kutoka dar kwenda Rusumu Zambia a nahitaji kukodi ili kupeleka mizigo
 
Booster? Naona nieleweshwe ni aina gani ya gari?
 
Boss wangu anatafta gari aina ya booster yenye uwezo wakubeba tan 33 kutoka dar kwenda Rusumu Zambia a nahitaji kukodi ili kupeleka mizigo
 
Ngoja waje madereva.
Sie wapenda lifti tutawasubiri Chalinze tupande hizo Booster
 
Back
Top Bottom