Tengeneza pesa online sasa

Tengeneza pesa online sasa

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
444
Habari za muda huu wadau wote.

Katika uzi huu nitakuwa nawaletea anuani za websites ambazo unaweza kufanya nao kazi online na kujiongezea kipato chako.

Leo nawaleteeni CASHCRATE.
Cashcrate ni mojawapo ya website ambayo unaweza kuitumia na kujipatia kipato cha ziada online. Katika cashcrate unaweza kupata dola kadhaa kwa kufanya survey mbalimbali kila siku, kukubali ofa zao, kuandika makala kuhusu cashcrate katika blog yako au kuwa-refer wengine.

Mhimu unachotakiwa kufanya ni kuingia katika web yao na kujisajili kisha unaweza kutembelea ukurasa wao wa maswali na majibu (FAQ) ili kujiridhisha zaidi iwapo utaiweza au la.
 
wewe ulishajaribu, halafu ukalipwa? Maana site za aina hii tumeshaziona nyingi sana na hazijatusaidia kwa namna yoyote ile.
 
Kwa kweli kutengenza pesa online is very possible. Ila ki ukweli opportunity nyingi za kwenye mtandao ni upotezaji wa muda na utapeli.

Opportunity kama Google Adsense wanalipa ila visenti senti unless una pata traffic kubwa kwenye website yako.

Affiliate marketing zinazotolewa na kampuni kama Clickbank wanalipa vizuri ila unahitaji experience ya hali ya juu ya internet marketing.

Zipo opportunity nyengine kama Network Marketing na Online Market leadership ambazo unaweza kutengeneza pesa nzuri ila mwisho wa siku unatakiwa ku offer kitu kinachohitaji kwenye Marketplace ndio watu watakuwa tayari kutoa pesa zao na kukulipa.

Kujifunza zaidi kuhusu online market unaweza kusoma blog yangu "6 Ways To Make Money From Home."

Good luck.

Dr. Said Said

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Dr. Said is a medical doctor (MD), Entrepreneur and a home based business coach. He's the current CEO of Strategic Marketing & Design, a company which helps business owners increase their profits using strategic marketing.

He spends most of his FREE time blogging about business, entrepreneurship and marketing on his blog site SaidSaid.Net.
To learn more from him, make sure you subscribe to his FREE Strategic Marketing Course.
 
Njia pekee ya kuingiza pesa online through Youtube Videos kupata views za kutosha na kulipwa ads, blog au website pia ads, kuuza vitu online kupitia online markets kama ebay etc au kua na online market ya kwako mwenyewe,

kutengeneza softwares na kuuza au kuziwekea ads, kingine ni freelancing kupitia sites kama elance au freelancer... zaidi ya hapo ni scam tu...
 
Back
Top Bottom