dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Mkuu nichk kwenye cm tunaweza kuelewanaKamata mil 10
Hati bado ila kinatambulika na uongozi wa serkali za mitaaKina hati?
MajengoKinzudi sehemu gani ..?
Kama unaenda kanisa la Roma ingawa hufiki huko ni majengo mwanzoni tuUnafika Maeneo ya Trina Hotel??
Ndio around maeneo hayo hayoUnafika Maeneo ya Trina Hotel??
Mbele kidogo Kaman unaenda kanisa la RomaMajengo
Kiwanja kinauzwa salasala kinzudi, ukubwa 25 kwa 20
Bei 11.5m
Serikali ya Mtaa hawana mamlaka yeyote kisheria kutambua au kusimamia Ardhi Mkuu...Ni sawa na mm nikikitambua basi haina mana yeyote kisheria .Hati bado ila kinatambulika na uongozi wa serkali za mitaa