Kupunguza gharama za ujenzi (RAMANI KWA OFA)

Joined
Aug 4, 2018
Posts
34
Reaction score
20
Hi

Leo tujadili kwa pamoja njia ambazo unaweza ukatumia kupunguza gharama wakati wa ujenzi

1. Kuchagua simple design(avoid complex design) au tuseme chagua ramani nzuri na rahisi haina makorokoro mengi , kwa kufanya hivi utaweza kuepuka makorido ambayo hayana umuhimu sana , zaidi ya kuongeza gharama . Ramani iwe simple lakn light na privacy lazima ziwe kipaumbele

2. Wakati wa kuchimba msingi cyo ukuta zote zinahitaji kuchimbiwa msingi so unaweza kuziepuka(non-load bearing wall) hii itasaidia kupunguza gharama wakati wa kujenga msingi . Usije ukaasume unajua make sure mtaalamu kakuonesha ipi ni ya kuchimba na ipi haina ulazima

3. Kama katika eneo lako mchanga ni nafuu kuliko mawe basi usitumie mawe , then badala yake weka kifusi, weka mchanga mwagia maji shindilia weka DPM , weka nondo zako za mkanda(ground beam) then mwaka zege la jamvi

4. Tumia nondo tatu kwa mkanda (triangle beam) au hata nguzo kwa nyumba za chini hakuna mzigo mkubwa sana ambao ni risk
Hakikisha kila hatua kahakiki mtaalamu lakini

5. Ukiweka vizuri zege za jamvi na kuipa level nzuri hautahitaji kuweka rough floor wakati wa tiles work hii inasaidia kupunguza cost

6. Azima mbao za kuzuia zege(formwork) kama kazi yako ni ndogo . Hii itasaidia sana kupunguza gharama kama una kazi kubwa bora kununua kuepusha hasara ya mda

7. Chagua simple roofing design ambayo ni cheap
Kama hidden roof ambayo unaweza save 50% of roofing cost

8. Chagua mafundi au mtaalamu ambaye hatakupa gharama kubwa lakini mzoefu kwenye kazi

9 . Utumiaji mzuri wa material. Usizidishe material . Kuna mda unanunua material yanazidi na huwezi hata kumuuzia mtu ni hasara

10. In advance tutumie mfumo mzuri wa maji safi na taka ambao ni cheap na arrangement iwe nzuri siyo bomba la kwenda kwenye septic tank linatembea mita 20 siyo vzr

NAOMBA ONGEZENI NYINGINE NYINGI

Wanaohitaji kupata ramani na ujenzi nafuu

Whatsup / call +255624004650
IMG_20181117_124815_293.jpeg
IMG_20181024_204102_512.jpeg
 
Whatsup / call +255624004650View attachment 937506View attachment 937507
Kwa mfano hiyo ramani uliyoweka hapo ndo sh ngapi?

Je hiyo ramani hapo juu inauhusiano na hiyo picha ya nyumba?
 
Unaanzisha threads nyingi halafu hujibu maswali unayoulizwa.

Unadhani unapoulizwa hapa MTU anakuwa hawezi kukupigia???

Acha upumberfu. Biashara za kiwizi wizi zimeshapitwa na wakati.

Nikupigie?? Unanipa vocha.
Njaa zako ndo zimekuleta then mi nikupigie!!!!
 
Kwani wewe uljvyoleta hapa hukuwa na uwezo wa kutupigia?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom