Nauza tablet ya Samsung 10.1 iko katika hali nzuri kwani imetumika kwa miezi miwili tu. Bei yake ni 350,000/- ila nitafute kwa maelewano.
BODYDimensions254.2 x 155.3 x 8.2 mm (10.01 x 6.11 x...
Nauza tablet ya Samsung 10.1 iko katika hali nzuri kwani imetumika kwa miezi miwili tu. Bei yake ni 350,000/- ila nitafute kwa maelewano.
BODYDimensions254.2 x 155.3 x 8.2 mm (10.01 x 6.11 x...
Habari naomba msaada nahitaji hiki kitabu na pia cha I will I can aje inbox anijuze bei na pia namna ya mimi kunifikia.asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina mteja mwingine anatafuta FUSO Bus injini iwe 6D16 au 6D17 nzuri
Ofa kaanzia milioni 27 ila anapanda akiona gari nzuri
Gari anataka iwe namba C au D kali sana.
0716321462
Sent using Jamii...
Wakuu rejeeni kichwa cha habari hapo juu,ninaitaji mayai ya kienyeji kwani nataka kufanya kazi ya kuuza mayai hayo jumla na rejareja.
Makazi yangu ni dar es salaam,kwa alie maeneo ya karibu...
Kuna Blender Aina Ya Sansang Nilinunua Mmwezi Ulipoti Lakini Jagi Lake Linavuja Je Kuna Spea Ya Jagi Na Zinapatikana Wapi.,, Au Mpaka Nini Nunue Blender Mpya
Je, una nia na uwezo wa kuagiza gari kutoka Nje? Je, una hofu kuagiza gari nje?, Je, huamini katika kuagiza gari nje? Je, huna mda wa kuagiza gari kutoka nje?, Je, hujui taratibu salama za kuagiza...
Hbr ndugu, nina mpango wa kuanza Kilimo cha bustani ambacho nina Malengo ya kukifanya kwa mwaka mmoja na nusu.
Hivyo nahitaji mwenye uzoefu na waterpumps ili zoezi liwe rahisi , nipate...
Kwa kuzingatia mahitaji, matakwa ya wateja na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia, kampuni ya simu za mkononi Itel, ambayo hivi karibuni ilishika nafasi ya kwanza kwa kuuza bidhaa zake nyingi...
Natafuta Chumba Dar es Salaam single Cha kupanga
Chumba kiwe na umeme na nje pawepo na maji
Kiwe kidogo Cha wastani
Kodi nitalipa miezi minne baada ya mwezi mmoja na nusu nitamalizia
wanawakelivetz
#WADADACENTER
.
2019 Tunatarajia kuboresha program hii ya wafanyakazi wa Nyumbani kuwapa Mafunzo ya Mwezi angau mmoja... Kwa sasa wanapata Mafunzo kwa wiki moja tuu kwa Sababu ya...
Habari,
Anayeuza gari aina ya subaru forester model SG5 tuwasiliane DM.
Iwe ya kuanzia mwaka 2004 - 2009.
Muuzaji serious naomba aje DM please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wanaukumbi
Nipo na Mashine za mbao.kwa sasa nipo na planer 24 Inches.na table saw 10 inches
Mashine zipo katika Hali nzuri.planer ni almost mpya.bei Yangu ni nzuri.tuwasiliane kwa...
Habari zenu watanzania wenzangu, nimewaletea taarifa njema kwa wale wajasiliamari kama mimi, kuna kampuni mpya ya kutokea china inaitwa yenye ofisi zake hapa Tanzania katika jiji la DSM, Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.