Nampango wa kununua kagari ka kufanya mizunguko hapa mjini dar.na kwenda kanisani.nime preffer minpajero ka cc660 au nissan march.je naweza kwenda safari za mbali kama km 800,na uimara wake pls.
Habarini. Husikeni na kichwa cha habari. Nahitaji kiwanja cha zaidi ya miguu 20 katika maeneo tajwa. Bajeti kuanzia Milioni 3-5. Ningependa kulipa kwa installments. Mnakaribishwa
HP Folio 9470M
Core i7 HDD 320GB RAM 4GB
Intel Graphics card 2GB
Wireless,bluetooth,DVD,Webcam etc
Used in best condition
FRER BAG
Bei: 540,000/=
Simu: 0656190449
#SKMOFFER
Dell latitude D620...
Habarini,
Natafuta mtu mwenye mashine kama hii hapa (kwenye picha)anisaidie kitu maana nashindwa kupata matokeo bora kwenye utotoleshaji.
Shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fridge aina ya Boss inauzwa shillingi laki tatu na nusu (Tshs 350,000) ni friji iliyotumika mwezi mmoja tu haina tatizo lolote liko vizuri linagandisha sana lipo Gongo la mboto- Moshi Bar...
Husika na habari hapo juu. nina kiwanya kiko Kigamboni, Kimbiji natafuta mtu mwenye kiwanja kwa Madale, Mvumoni ili tuweze kufanya exchange trade.
Note: Masharti yote yatazingatiwa ipasavyo
Nzuri sana hazina tatizo lolote muonekano mzuri na zinagandisha pia
bei ya offer 130,000/= kwa kila moja zipo mbili ZEC & INVETOR
call & whatsapp 0764 876 888
wahi faster
Kama title inavyojieleza kwa yeyote ama anaefahamu eneo zuri kwa kuchoma chips maeneo ya mbagala ama sehemu yeyote ndani ya dar linalokodishwa kwa bei nafuu plz msaada wake unaitajika Nina shida nalo
Msingi wa kufanikiwa katika jambo lolote ni kujiamini, lazima ujiamini wewe mwenye kabla mtu mwingine aja kuamini. Hii ni muhimu sana kwani hakuna atae weza kukuamini kama wewe mwenyewe...
Kwa idhini tuliyopewa na International bank tutakwenda kuuza nyumba ya mdaiwa wao iliyopo kinondoni nyuma ya BEST BITE siku ya tarehe 11/1/2019 mnamo saa nne kamili asubuhi.
SIFA ZA NYUMBA
-Nyumba...
A/alaikum. Jina langu Muharrami. Baadhi ya kazi zangu ni hizi hapa. Napatikana vikindu - mkuranga, njee kidogo na Dar es sallam. Uaminifu wangu katika kazi ndio silaha yangu kubwa. Popote Tanzania...
Fridge aina ya Boss inauzwa shillingi laki tatu na nusu (Tshs 350,000) ni friji iliyotumika mwezi mmoja tu haina tatizo lolote liko vizuri linagandisha sana lipo Gongo la mboto- Moshi Bar...