NYUMBA INAUZWA KWA MNADA WA HADHARA

NYUMBA INAUZWA KWA MNADA WA HADHARA

Joined
Jun 11, 2011
Posts
83
Reaction score
49
Kwa idhini tuliyopewa na International bank tutakwenda kuuza nyumba ya mdaiwa wao iliyopo kinondoni nyuma ya BEST BITE siku ya tarehe 11/1/2019 mnamo saa nne kamili asubuhi.
SIFA ZA NYUMBA
-Nyumba in hati miliki namba 186158/104 kiwanja namba 128 kitalu namba 41
-Nyumba ni ya gorofa moja
-Ina vyumba vitano, vinne juu, kimoja chini (vyumba viwili vya chini ni master, na kimoja cha juu ni master)
- Nyumba ina Sitting room, dinning room, Store, parking, kitchen
- Nyumba ina ukubwa wa kiwanja 520 s/m
Kumbuka: Mnada wa hadhara maana yake wewe mteja ndio mpangaji wa bei, hivyo wote mnakaribishwa. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba zifuatazo: 0753858259, 0658083460, 0759783366 (RECOVERY OFFICER - Tambaza auction mart and general broker
 

Attachments

  • IMG-20181213-WA0063.jpg
    IMG-20181213-WA0063.jpg
    31.4 KB · Views: 91
  • IMG-20181213-WA0064.jpg
    IMG-20181213-WA0064.jpg
    33.6 KB · Views: 90
  • IMG-20181213-WA0065.jpg
    IMG-20181213-WA0065.jpg
    63.1 KB · Views: 84
  • IMG-20181213-WA0066.jpg
    IMG-20181213-WA0066.jpg
    52.7 KB · Views: 102
  • IMG-20181213-WA0067.jpg
    IMG-20181213-WA0067.jpg
    29.6 KB · Views: 89
  • IMG-20181213-WA0068.jpg
    IMG-20181213-WA0068.jpg
    64.2 KB · Views: 88
Kawaida ila kwa namna moja au nyingine hutoa funzo kwa wadaiwa hasa kwa wale wanaokopa na wakashindwa kutumia vizuri mikopo yao katika udharishaji
Kuna uzi humu ulibandikwa na mtu mmoja akilalamika kuporwa KOROSHO zake; ilikua hivi, huyu mtu (nadhani alikua dada) alikopeshwa na mstaafu mmoja aliyechukua mafao yake (hope kabla ya kikokoktoo kipya kilicho simamishwa) kama Tsh 10M, huyu mkopaji nae alikwenda kwenye KOROSHOW cause one of his/her friend alifanya hiyo biashara mwaka jana na ikamtoa so akaona na yeye akajaribu bahati yake but ndio hivyo sasa, koroshow zake zimenyang'anywa na wenyewe hadi aoneshe SHAMBA, so kabla hujafikiria kwamba watu wanatumia mikopo vibaya, fikiria pia aina ya biashara za namna hiyo. Habari nyingine ambayo mwaka juzi katikati ilifirisi watu ni ile ya viroba/viloba, mwanzoni biashara ile ilikua HALALI kabisa kisheria, tamko la waziri mkuu lilipiga marufu biashara ile na walitoa muda Fulani, mfikirie yule TAJIRI wa Dodoma aliyekua na stock ya zaidi ya Bilioni hadi akaona njia pekee ya kujitendea HAKI ni yeye kujiua, so ndio hivyo.
 
Maelezo yako rekebisha mkuu.

Nyumba ina vyumba 5, vinne juu kimoja chini alafu unasema vyumba 2 vya chini ni self!!
Nyumba ni ya gorofa, ina jumla ya vyumba vitano, juu kipo chumba kimoja ambacho ni master,,, na chini vipo vinne na kati ya hivyo vinne vilivyopo chini viwili ni master....Karibu sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom