Fridge aina ya BOSS inauzwa

Fridge aina ya BOSS inauzwa

tawa driller

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
296
Reaction score
152
Fridge aina ya Boss inauzwa shillingi laki tatu na nusu (Tshs 350,000) ni friji iliyotumika mwezi mmoja tu haina tatizo lolote liko vizuri linagandisha sana lipo Gongo la mboto- Moshi Bar

Mawasiliano: 0625 57 60 82
IMG_20190105_171002.jpeg
IMG_20190105_171040.jpeg
IMG_20190105_171049.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mafriji ni kama binadamu tu!

Kuna mengine ni full bata na kuna mengine hadi utayahurumia kwa shuruba inayopata!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom