Natafuta Kiwanja maeneo ya Goba/Bonyokwa/Mbezi

Ray of light

Senior Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
154
Reaction score
298
Habarini. Husikeni na kichwa cha habari. Nahitaji kiwanja cha zaidi ya miguu 20 katika maeneo tajwa. Bajeti kuanzia Milioni 3-5. Ningependa kulipa kwa installments. Mnakaribishwa
 
Ngoja waje mkuu,umewaza vyema sana kuchukua hatua hii kwani maisha ya sasa hujawa na pakuweka ubavu basi hutokaa upate utulivu wa nafsi.
 
Habarini. Husikeni na kichwa cha habari. Nahitaji kiwanja cha zaidi ya miguu 20 katika maeneo tajwa. Bajeti kuanzia Milioni 3-5. Ningependa kulipa kwa installments. Mnakaribishwa
1. Kiwanja miguu 20.
2. Bajeti 3m-5m.
3. Kulipa kwa instalment???
4. Ujenzi utauweza kweli?
 
1. Kiwanja miguu 20.
2. Bajeti 3m-5m.
3. Kulipa kwa instalment???
4. Ujenzi utauweza kweli?
Sijaelewa mantiki yako. Kwamba haiwezekani kujenga sababu ninalipa kwa installments ama?
 
Okay mkuu japo tangu muda ule nimeshanunua cha M6 namalizia January mwishoni
 
Kwa bajeti hiyo ya 3m Nenda Mwandege, Chamazi au Msanga. Don't take it personal ni katika kusaidiana tu
 
Habarini. Husikeni na kichwa cha habari. Nahitaji kiwanja cha zaidi ya miguu 20 katika maeneo tajwa. Bajeti kuanzia Milioni 3-5. Ningependa kulipa kwa installments. Mnakaribishwa
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii comedy
 
Habarini. Husikeni na kichwa cha habari. Nahitaji kiwanja cha zaidi ya miguu 20 katika maeneo tajwa. Bajeti kuanzia Milioni 3-5. Ningependa kulipa kwa installments. Mnakaribishwa
kama Kibaha unapata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom