Pump ya kumwagilia

Pump ya kumwagilia

rommy shabby

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2017
Posts
1,122
Reaction score
1,313
Habari wapenda humu ndani nina uza pump ya kumwagilia inch tatu aina ya boss kwa laki tatu na thelathini mpira wake laki moja na arobaini mpira ni mitaa mia vitu vyote bado vipya kabisa havitumika nilikuwa na plan ya kufanya kilimo eneo flani hivi sasa hilo eneo pump hii ya inch tatu uwezo wake ni mkubwa sn yaan ni kupandisha maji kwa eneo la maji ya chemchem hivi ama madimbwi sio nzuri kutumia maana maji yataisha yote kutokana na u kubwa wa pump na uwezo wake na pump ipo mbagala rangi tatu kama unahitaji nicheki pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka picha yake na namba zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha
So soon naeka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Picha hizi hapa na number ni 0653848956
IMG-20190106-WA0004.jpeg
IMG-20190106-WA0005.jpeg
IMG-20190106-WA0012.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INATUMIA MAFUTA KIASI GANI KWA SAA
 
Back
Top Bottom