Hapa mjini maeneo gani unataka? Wilolesi na Gangilonga kiwanja cha cha 35*25 andaa 40m. Kwingine bei inategemea na muonekano wako.TAFADHALI NATAFUTA KIWANJA CHA KUJENGA NYUMBA IRINGA MJINI MWENYE NACHO ANI PM
kipatikane sehemu nyinginezo lakini sio bararabara ya kuja ipogoloKiwanja kipo manispaa ya Iringa karibu na mradi wa ujenzi wa nyumba za PSPF eneo la Kitwiru block J kimepimwa na kina hati zote za manispaa ukubwa 1200 metres square.
Bei milioni 25 kama upo willing nicheki PM.
Ahasnte mkuu nataka cha kawaida tu cha kujenga nyumba ya kuishi kiwe kokote lakini sio barabara ya ipogoloKiwanja kipo manispaa ya Iringa karibu na mradi wa ujenzi wa nyumba za PSPF eneo la Kitwiru block J kimepimwa na kina hati zote za manispaa ukubwa 1200 metres square.
Bei milioni 25 kama upo willing nicheki PM.
Ok, ila hapo nilipokuelekeza ni pazuri sana, barabara za manispaa kati ya viwanja zimeshatengenezwa kifupi ni uzunguni ya baadae.Ahasnte mkuu nataka cha kawaida tu cha kujenga nyumba ya kuishi kiwe kokote lakini sio barabara ya ipogolo
Hebu Leta contacts hapa za kitwiruHapa mjini maeneo gani unataka? Wilolesi na Gangilonga kiwanja cha cha 35*25 andaa 40m. Kwingine bei inategemea na muonekano wako.
Karibu.
mkuu mbona nimeshaweka bei za Kitwiru au useme ww upo na kiasi gani?Hebu Leta contacts hapa za kitwiru
aisee.. niPM NIKUUNGANISHE KWA BEI RAHISI MAJENGO MAPYA