Wana jukwaa habari zenu, ningependa kupata msaada wenu kwa kuorodhesha baadhi ya shule za private zinazopatikana mitaa ya upanga dar es salaam n vizur zaid kama ntapata za secondary.
Habari wanajamvi, nauza asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo kwa bei ya jumla na rejareja. Napatikana bukoba ila naweza tuma mzigo popote ulipo. Asali safi kutoka tabora. Mawasiliano 0757769990...
Natafuta kazi ya udereva nimesoma na ninazo sifa na uzoefu wa kutosha mwaka mmoja sasa naendesha magar.leseni yangu ni daraja D pia elimu yangu ni cheti cha form four makazi yangu ni Dar es salaam...
Nauza vifaa vya computers....
Macbook chargers
Laptop & Macbook battery
Keyboard for Macbook & Laptop
Screen for Laptop
Wireless keyboard & Mouse
Wi-fi usb adaptors
Min display to hdmi/vga/dvi...
The ICT Company Providing wide range of ICT solutions to meet your entire business and personal needs. Our goods and services are backup up with warranty and after sale services. Our products...
Niaje wadau
Nina kuku wa kisasa 350 na nauza 5500@1.
Location Morogoro
Mtaa Mkundi kama unakwenda Dodoma.
Aliyetayari tuwaailiane kwa no#0718906602
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mayai halisi ya kienyeji nyenye virutubisho vyote yanatoka kwa kuku wanaojitafutia chakula wenyewe yanapatikana kwa trai na kwa mojamoja trai 13000 rejareja 500 kwa mawasiliano zaidi...
Sifa za hiyo laptop ni
1. HDD kuanzia 500GB nakuendelea
2. Processor core i 5 gb 2.5 nakuendelea
3. RAM 4gb na kuendeleza
4. Display 15"
5 iwe na DVD ROM
6.iwe na uwezo wa kusapoti wifi na...
AM standard cleaning team ni kampuni ya usafi iliyosajili iyojishughulisha na maswala ya usafi katika mkoa wa Arusha na Viunga vyake.
Tunatoa huduma zifuatazo;
•usafi wa nyumbani - kama vile...
NAUZA
MICROSOFT SURFACE RT 8.1
Inter core i5-3317u CPU 1.70ghz
Touch screen
Ram 4gb
Ssd 64gb
Camera
Os Windows 8.1
Condition used
Location Upanga
Bei 450000
Sent using Jamii Forums mobile app
Tairi safi kabisa ajitumika hapa Bongo gari imefika bandarin ikavuliwa zote nne
Bei 140,000 kwa zote
Call 0673263071 zipo posta mpyaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wananzengo, kama unauza ipad used iwe na hali nzuri tafadhari waailiana na mtu anahitaji kwa udi na uvumba, iwe na hali nzuri saaaana ikiwa na inatumia line itapendeza sana.
Sent...
Viwanja hivi vipo Kigamboni- Kimbiji jijini Dar es Salaam, mita 500 kutoka baharini. Kutoka Kigamboni mpaka viwanja vilipo ni umbali wa Kilomita 38 ambao ni sawa na umbali wa kutoka Posta Mpya...
Naomba mwenye kujua mkoa ambao maboga yanapatikana kwa wingi anijulishe nipo arusha.
Pia ningependa kujua kilo ni sh ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app