Natafuta kazi ya udereva nimesoma na ninazo sifa na uzoefu wa kutosha mwaka mmoja sasa naendesha magar.leseni yangu ni daraja D pia elimu yangu ni cheti cha form four makazi yangu ni Dar es salaam msaada kam kuna kazi wapendwa