Ziggy Sobotka
Member
- Feb 13, 2019
- 19
- 36
Hey Habari wadau natafuta bajaj kwa yeyote anayeuza iwe katika hali nzuri sio imechoka sana. Mahali iwe Singida maana itatumika Singida Mjini. Asante
Hey Habari wadau natafuta bajaj kwa yeyote anayeuza iwe katika hali nzuri sio imechoka sana. Mahali iwe Singida maana itatumika Singida Mjini. Asante
Somo Tangazo tena sio iliyooza.Nilipita kwa Mtogole jana pale karibu na kanisa katoliki la Mt. Kizito, pembeni yake kuna kibajaji kimeozeana na hakitumiki kinachezewa tu na watoto. Kama unakihitaji nitafute PM nikuelekeze vizuri.