Plot4Sale Viwanja vya makazi na biashara kuanzia Square Meter 500 mpaka 9,000 vinauzwa Kimbiji- Dar es Salaam

rasachri

Senior Member
Apr 8, 2011
144
225
Viwanja hivi vipo Kigamboni- Kimbiji jijini Dar es Salaam, mita 500 kutoka baharini. Kutoka Kigamboni mpaka viwanja vilipo ni umbali wa Kilomita 38 ambao ni sawa na umbali wa kutoka Posta Mpya mpaka Bunju. Uzuri wa Kigamboni ni kwamba hakuna foleni ikilinganishwa na maeneo mengine na hali ya hewa ni shwari zaidi kwa sababu ya ukaribu wa bahari.

Bei ya viwanja hivi ni Tsh 12,000 kwa mita za mraba, viwanja vyote vimepimwa na vina huduma kama vile barabara na umeme uko jilani kabisa.

UTARATIBU WA MALIPO NI KUA, UNAWEZA KULIPA PESA YOTE KWA MARA MOJA AU UKALIPA MPAKA KWA AWAMU 4 TOFAUTI

Kwa Mawasiliano zaidi piga 0754 455865
 
Attachments

bizplan

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
461
500

Punguza bei tuchukue
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom